Picha,DJ Khaled kafikisha miaka 40 mwaka huu,jumba la kifahari alilonunua kama zawadi yale liko hapa.
DJ Khaled amemwaga dola milioni $3.8 kwenye jumba jipya la kifahari mjini Miami.Khaled ambaye kwao ni Miami amefikisha miaka 40 mwaka huu na kusheherekea kwa kujinunulia jumba hili. Nyumba ina vyumba 7 vya kulala, mabafu 7 na Bwawa la kuogelea.Marafiki wamemtania Khaled kuwa na uzito wake wanashanga jumba lake halina lift. Khaled pia amefungua mgahawa wake wa pili wa vyakula unaofahamika kama “FingaLicking”
0 comments:
Post a Comment