Country Fm Iringa 88.5 Iringa,91.1 Mbeya
Home » »

Mtangazaji wa BBC ya Uingereza amtaja Vanessa Mdee kwenye orodha ya wasanii 5 wa Afrika wa kuwaangalia zaidi mwaka 2016

Vanessa Mdee ametwajwa kwenye orodha ya wasanii 5 wa Afrika wa kuwaangalia zaidi mwaka 2016 , orodha hiyo imetolewa na Mtangazaji wa BBC ya uingereza, DJ Edu.
Mdee

Vanessa ameshika namba mbili kupitia wimbo wake wa ‘Never Ever’,  Hii ndio orodha kamili
5. A pass (Uganda)
4. Runtown (Nigeria)
3. Donald (Afrika kusini)
2. Vanessa Mdee
1. Ston bwoy (Ghana)
Mtangazaji huyo amedai wasanii hao ndio watafanya vizuri mwaka 2016

Ahsante kwa maoni yako,endelea kusikiliza redio country fm Iringa-One community
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA COUNTRY FM

Pages

Pages

radio country fm,one community. Powered by Blogger.