Country Fm Iringa 88.5 Iringa,91.1 Mbeya
Home » »

Hii ndio Laptop iliyovunja rekodi kwa 2016, nyembamba ila yenye ubora wake.


Kampuni ya watengenezaji wa laptop za Lenovo kutoka China wamethibitisha kwamba mwaka 2016 wanakuja kuiandika rekodi mpyampya Duniani.
Lenovo wanakuja na aina nyingine ya Laptop kwa mwaka huu 2016, mzigo ni Lenovo Yoga 900 ambapo hii itakuwa ndio laptop nyepesi zaidi Duniani, ina upana wa nusu inch tu upana ambao wanaufananisha na ule wa simu ya iPhone… kingine ni kwamba inaweza kukunjwa kwa namna yoyote bila kuvunjika na wala haina mwisho, yani unaweza kuikunja mpaka sehemu ya nyumba ya kioo na sehemu ya chini vikakutana na bado iko on bila kuzimwa !!
Uwezo wake pia inaweza kukaa na chaji kwa zaidi ya saa 10, na matarajio yaliyopo ni kuziingiza sokoni mwezi March 2016.. bei itagusa kama dola 1,100 ambazo ni sawa na Milioni 2.3 za Kitanzania.
Ahsante kwa maoni yako,endelea kusikiliza redio country fm Iringa-One community
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA COUNTRY FM

Pages

Pages

radio country fm,one community. Powered by Blogger.