Chris Brown kwenye msala mwingine wa Kumpiga mwanamke

Kwa mujibu wa mtandao wa Hollywood Reporter, Mwanamke huyo amesema alipigwa na Chris Brown baada ya kutaka kupiga nae picha, amedai chris brown aliichukua simu yake pia.
Chris Brown na Mwakilishi wake, Nicole Perna wamepinga taarifa hizo, wamesema kuwa mwanamke huyo aliondolewa kwenye Private party ilyokuwa ikifanyika Palms Casino Resort jijini humo kutokana na kuonesha tabia chafu na hivyo aliamua kusema uongo kulipiza kisasi.
“Her claim that she had her phone in her possession inside the after party and was able to take a photo causing an altercation with Chris Brown is a complete fabrication,” Alisema Perna.
Uchunguzi bado unaendelea.
0 comments:
Post a Comment