Country Fm Iringa 88.5 Iringa,91.1 Mbeya
Home » »

Rapa K.O awataja wasanii anaowakubali zaidi Africa,mtanzania ni huyu.

K.O_Hoodie_2
Akifanyiwa mahojiano na The Voice rapa kutoka Afrika kusini K.O ameweka wazi kuwa wasanii wa Africa ambao anawasikiliza zaidi kwa sasa ni Olamide wa Nigeria, Wizkid wa Nigeria, Vennessa Mdee wa Tanzania, Sauti Sol wa Kenya.
K.O Pia ameongelea mafanikio ya wimbo wake wa Caracara nakusema wimbo huu ulimpa moyo wa kuwa na sound yake mwenyewe nchin Afrika Kusini.
Akiongelea wasani wenye ushawishi mkubwa kwenye muziki wake K.O amesema wasanii hawa ni Drake, Kendrick Lamar, Kid X kutoka SA na Wiz Kid.
Ahsante kwa maoni yako,endelea kusikiliza redio country fm Iringa-One community
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA COUNTRY FM

Pages

Pages

radio country fm,one community. Powered by Blogger.