Country Fm Iringa 88.5 Iringa,91.1 Mbeya
Home » »

Picha, Don Jazzy na Olamide wapatana,sababu ya ugomvi iko hapa.

Don-Jazzy
Siku mbili tu baada ya kutofautiana, mabosi wa record lebel mbili kubwa Nigeria wamepatana. Ni producer Don Jazzy na Olamide.
Ugomvi wao umetokana na msanii wa Don Jazzy ‘Reekado Banks’ kushinda tuzo aliyogombania na msanii wa Olamide ‘Lil Kesh. Tuzo hii ni ya Next Rated.
Don Jazzy anamiliki Marvins Records na Olamide anamiliki YBNL.
Wawili hawa waliandika  “We are very Sorry for the wahala make una no vex oh. It is our responsibility to lead but then again we are only human and we all make mistakes! #WeAreSorryHeadies #WeAreSorryFans #PeaceAndUnity
img_5809-1-696x854
Ahsante kwa maoni yako,endelea kusikiliza redio country fm Iringa-One community
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA COUNTRY FM

Pages

Pages

radio country fm,one community. Powered by Blogger.