Country Fm Iringa 88.5 Iringa,91.1 Mbeya
Home » »

Bondia Manny Pacquiao anastaafu ngumi? haya ni majibu yake

Staa wa ngumi duniani raia wa Ufilipino Manny Pacquiao amesema anatarajia kustaafu mchezo huo April 2016 baada ya kumaliza pambano lake na bondia Timothy Bradley.
Bondia huyo ambaye tayari ameshinda mataji nane ya ubingwa wa dunia kwa sasa ana ndoto za kuwania nafasi za juu za uongozi katika nchi yake ya Ufilipino anaamini ana nafasi kubwa ya kuiongoza nchi hiyo.
Pacquiao atapambana na bondia huyo kutoka America kwa mara ya tatu April 9, 2016 ikiwa ni baada ya kushindwa kumudu kumpiga mpinzani wake mkubwa Floyd Mayweather katika pambano lililofanyika Las Vegas hivi karibuni.
“Natarajia kustaafu ngumi na kjikita z aidi kwenye mambo ya siasa, pambano langu la mwisho litakuwa dhidi ya Timothy” alisema jana katika mahojiano.
Ahsante kwa maoni yako,endelea kusikiliza redio country fm Iringa-One community
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA COUNTRY FM

Pages

Pages

radio country fm,one community. Powered by Blogger.