Country Fm Iringa 88.5 Iringa,91.1 Mbeya
Home » » hii ni video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’?ninayo hapa……

hii ni video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’?ninayo hapa……Belle 9 baada ya kutambulisha rasmi single yake mpya Burger Movie Selfie katika vituo mbalimbali vya radio Dec 7 2015,  sasa time hii pia ametusogezea na video mpya ya single hiyo.
Kwa mujibu wa msanii huyo ni kwamba video imeshutiwa Morogoro na director GQ wa Morogoro, itazame hapa.


Ahsante kwa maoni yako,endelea kusikiliza redio country fm Iringa-One community
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA COUNTRY FM

Pages

Pages

radio country fm,one community. Powered by Blogger.