Country Fm Iringa 88.5 Iringa,91.1 Mbeya
Home » »

Stori,mwanamke asiye julikana avamia nyumba ya Chris Brown na kugoma kuondoka.


cb-bape
Mwanamke anayeaminika kuwa ni shabiki wa ukweli wa rnb staa Chris Brown amevamia geti la nyumba ya Chris Brown iliyopo mitaa ya Woodland Hills na kuvizia geti lifunguliwe ili azame ndani.
Mwanamke huyo alivizia gari litoka ndani ya nyumba hio na alizamia ndani na kukamatwa na walinzi wa Chris brown waliohakikisha polisi wanakuja na kumchukua dada huyu.
Hii ni mara ya pili kwa kitu kama hichi kutokea kwa Chris mwaka huu kwani mwaka jana kuna mwanamke alivunja nyumba ya Chris Brown na kuharibu magari yake aina ya Rolls-Royce na Range Rover, alijipikia na kulala mtupu kwenye kitanda cha Chris Brown.
Ahsante kwa maoni yako,endelea kusikiliza redio country fm Iringa-One community
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA COUNTRY FM

Pages

Pages

radio country fm,one community. Powered by Blogger.