Picha,Beyoncé afanya video kisiri mjini New Orleans
Ni mwaka umepita toka Beyonce atoe album ya kushtukiza ya Beyoncé na sasa staa huyu yupo tayyari kurudi kwenye game.
Bey ameonekana kwenye Mercedes-Benz Superdome mjini New Orleans Marekani akifanya video na mume wake Jay Z alikuwepo.
0 comments:
Post a Comment