Country Fm Iringa 88.5 Iringa,91.1 Mbeya
Home » »

Haya ni mambo mengine 10 usiyoyajua kuhusu Kanye West… (+Pichaz)!

Rapper Kanye West ni miongoni wa wasanii wa kubwa wa karne ya 21, pia ni mume wa mmoja wa mastaa wakubwa sana duniani Kim Kadarshiancamera na waandishi wa habari humfuata kila sehemu kunasa matukio yake ya kila siku, blogs na websites zinamuandika karibia kila siku pia… lakini ukiacha haya yote naamini bado kuna vitu ambavyo huvijui kuhusu Kanye mtu wangu.
YAE17
Baada ya kuacha shule Kanye West aliwahi kufanya kazi kwenye kampuni ya bima kama kijana wa ‘customer care’ lakini baada ya hapo Kanye alifanya nini?… haya ni mambo mengine 10 usiyoyajua kuhusu rapper Kanye West.
YAE12
10. Kanye West anazungumza kichina na aliwahi kuishi China na mama yake kwa mwaka mmoja na kusoma darasa  la tano huko.
YAE13
09. Mama yake alikuwa analipa dola 2 ili kumshawishi Kanye West acheze muziki.
YAE6
08. Alitengeneza beat yake ya kwanza kabisa akiwa darasa ya saba.
YAE
07. Alivyokuwa na miaka 13 Kanye West alikuwa analia sana baba yake akimkataza kunyoa kiduku.
YAE14
06. Jina lake la kwanza la utani lilikua ‘Deep House’ na lilitokana na yeye kupenda kuvaa nguo za oversize kipindi hicho.
YAE15
Kanye West na mama yake.
05. Baada ya kuacha shule Kanye West alifanya kazi kwenye kampuni ya bima kama customer care ili aweze kupata hela ya kulipa kodi yake ya nyumba ambayo ilikuwa ni chumba alichopanga kwenye nyumba ya mama yake.
YAE7
04. Kabla ya kufanikiwa kimuziki, Kanye West alijaribu kufanya biashara ya kuuza nyumba (real estate) lakini akaona anapata hela ndogo sana.
YAE11
03. Kwenye maisha yake alishawahi kufikiria kucheza picha za utupu mara mbili ili apate hela ya kutengeneza beats za muziki.
YAE16
02. Kanye West aliuza beat yake ya kwanza kwa dola 8,800 ambayo kwa pesa ya Kitanzania ya sasa ni sawa na milion 20,240,000.
YAE3
01. Mara nyingi Kanye West akiwa kwenye mikutano na mikutano hiyo isipoenda vizuri, rapper huyo hulia!
Ahsante kwa maoni yako,endelea kusikiliza redio country fm Iringa-One community
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA COUNTRY FM

Pages

Pages

radio country fm,one community. Powered by Blogger.