Country Fm Iringa 88.5 Iringa,91.1 Mbeya
Home » » Baada ya Sir Alex Ferguson kusikia wanataka kumtimua Mourinho, kaongea haya maneno 77 tu.

Baada ya Sir Alex Ferguson kusikia wanataka kumtimua Mourinho, kaongea haya maneno 77 tu.Kwenye headlines za Sports leo na hii kauli ya kocha wa zamani wa Manchester United imo kwenye zile stori kubwakubwa… ni baada ya stori zinazoendelea kusambaa kuhusu Chelsea kuwa na mpango wa kumtimua kocha Jose Mourinho baada ya timu hiyo kutokufanya vizuri.
ferguson 2
Baada ya hizo fununu za Mourinho kutimuliwa kumfikia na kocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson, amesema yafuatayo >>> ‘Tajiri wa Chelsea amefukuza makocha wengi sana ndani ya miaka kumi iliyopita na nina uhakika amejifunza kwa kipindi hicho’
mourinho
Ferguson anaendelea kwa kusema ‘Anatakiwa kujua hiki ni kipindi cha mpito tu kinapita na awe na imani na Mourinho kwamba atakaa sawa tu, hainishawishi kumfukuza kazi mmoja wa makocha bora wa wakati wote.. ameshinda makombe ya Ulaya mara mbili, ameshinda ligi kwenye kila nchi alikofundisha timu, itakua ni ujinga kumfukuza Mourinho kazi, itaonyesha kabisa wewe ni bosi mbovu usiejua nini cha kufanya’
Ahsante kwa maoni yako,endelea kusikiliza redio country fm Iringa-One community
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA COUNTRY FM

Pages

Pages

radio country fm,one community. Powered by Blogger.