Country Fm Iringa 88.5 Iringa,91.1 Mbeya
Home » » UZINDUZI WA CHANJO MKOA WA IRINGA-MAFINGA

UZINDUZI WA CHANJO MKOA WA IRINGA-MAFINGA

MkuuwaWilayayaMufindi Bi MBONI MHITA amewatakawazazinawaleziMkoaniIringakutosikilizamanenoyauzushikuwachanjozinazotolewakwaWatotonchinihuwazinamadhara, badalayakewajitokezekwawingikwenyevituovyakutoleachanjoilikuwakingawatotonauwezekanowakushambuliwanamaradhimbalimbali.


TaarifayaofisiyahabarinamawasilianoyahalmashauriyaWilayayaMufindi, imeelezakuwa ,Mkuuwawilayaaliyasemahayokatikakijiji cha SawalaWilayaniMufindiMkoaniiringawakatiakimwakilishaMkuuwaMkoawaIringakwenyeuzinduziwa wiki yachanjokwawatotowenyeumriwachiniyamiaka 5
Mhitaamesemaendapowazazinawaleziwatasikilizamanenoyasiyonaukweliwowote, watakuwawanahatarishaafyazawatotowaokwanikuzikosachanjohizomuhimukwaustawiwaMtotokutasababishawashambuliwenamaradhi, kituambachokinahatarishauhaiwaMtoto.
AmesemachanjonimkakatimuhimunamuafakakatikakutokomezamaradhinakupunguzavifovyawatotolakinipiakupunguzagharamakubwaambazoFamilianataifakwaujumlalingetumiakatikakutibumaradhiyatokanayonamagonjwayanayozuilikakwachanjo.
Wataalamyaafyawamethibitishakuwa, chanjohuzuiatakribanivifomilionimbilihaditatukilamwakakutokananamaradhiyanayokigwakwachanjoikiwanipamaojanaNdui, Polio, KifaduronaPepopunda,ujumbewachanjomwakahuuunasemaJamiiiliyochanjwanijamiiyenyeafyahukukaulimbiuikisemaChanjonizawadiyaMaisha.


1 comments:

  1. Hii habari nimeifuatilia kwa makini lakini maneno hayajatenganishwa kuonesha au kubainisha tofauti ya neno moja na jingine.
    ahsante

    ReplyDelete

SIKILIZA COUNTRY FM

Pages

Pages

radio country fm,one community. Powered by Blogger.