Country Fm Iringa 88.5 Iringa,91.1 Mbeya
Home » » KINACHOENDELEA KWENYE MSIBA WA KAPTENI JOHN KOMBA

KINACHOENDELEA KWENYE MSIBA WA KAPTENI JOHN KOMBA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na Viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado wanaendelea kufika nyumbani kwa marehemu Kapteni John Komba kwa ajili ya kutoa salaam za rambi rambi.

44kmb 
Ratiba ya awali iliyotolewa  na familia wamesema mwili wa Marehemu Kapteni Komba utafika saa 10 kwa ajili ya sala kisha mwili utalala hapa nyumbani kwake kwa siku ya mwisho kisha kesho March 02 utaelekea Karimjee kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kisha utasafirishwa kuelekea Songea kwa mazishi.
6kmb
15kmb
11kmb
31kmb
2kmb
3kmb
155kmb
151kmb
149kmb
143kmb
136kmb
132kmb
126kmb
122kmb
123kmb
105kmb
102kmb
99kmb
89kmb
88kmb
55kmb
59kmb
64kmb
69kmb
70kmb
78kmb
38kmb
50kmb
51kmb
52kmb
53kmb
Ahsante kwa maoni yako,endelea kusikiliza redio country fm Iringa-One community
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA COUNTRY FM

Pages

Pages

radio country fm,one community. Powered by Blogger.