Country Fm Iringa 88.5 Iringa,91.1 Mbeya
Home » » UEFA CHAMPIONZ LIGI: DROO TAYARI, NI HATARI, PSG-CHELSEA, ARSENAL-BARCA!

UEFA CHAMPIONZ LIGI: DROO TAYARI, NI HATARI, PSG-CHELSEA, ARSENAL-BARCA!

Image result for UEFA
Hii ni droo ya Raundi ya Mtoano ya UEFA CHAMPIONZ LIGI, UCL, imefanyika Leo huko Nyon, Uswisi ni kuzibua mitanange mika
Mabingwa Watetezi Barcelona watavaana na Arsenal wakati Paris Saint-Germain wakikutana na Chelsea hukuJuventus wakicheza na Bayern Munich.
Mechi nyingine za mvuto ni ile ya AS Roma na Real Madrid huku Dynamo Kyiv wakikutana na Manchester City.
Raundi hii itachezwa Februari 16-17 na 23-24 huku Marudiano ni Machi 8-9 na 15-16.
Washindi watasonga Robo Fainali.
UEFA CHAMPIONZ LIGI
Raundi ya Mtoano ya Timu 16
Ghent v Wolfsburg
AS Roma v Real Madrid
Paris Saint-Germain v Chelsea
Arsenal v Barcelona
Juventus v Bayern Munich
PSV Eindhoven v Atletico Madrid
Benfica v Zenit St Petersburg
Dynamo Kyiv v Manchester City
**Mechi kuchezwa 16-17 na 23-24 February huku Marudiano ni Machi 8-9 na 15-16.

TAREHE MUHIMU:
Raundi za Mtoano:
-Droo ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16: Desemba 14
**Mechi Februari 16/17/23/24 na Marudiano Machi 8/9/15/16
-Droo ya Robo Fainali: Machi 18
**Mechi Aprili 5/6 na Marudiano Aprili 12/13
-Droo ya Nusu Fainali: Aprili 15
**Mechi Aprili 26/27 na Marudiano Mei 3/4
FAINALI
Mei 28
San Siro, Milan, Italy
Ahsante kwa maoni yako,endelea kusikiliza redio country fm Iringa-One community
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA COUNTRY FM

Pages

Pages

radio country fm,one community. Powered by Blogger.