Yemi Alade wa Nigeria kaua na Kiswahili kwenye nyimbo yake mpya NAGODE
Yemi Alade ni mwimbaji kutoka Nigeria ambaye Afrika ilimtambua kwa uzito kupitia single yake ya ‘Johnny’ na baadae katuletea single nyingine mfululizo…. na sasa katuletea ‘Na Gobe’ (Swahili Version), bonyeza
play hapa chini kuisikiliza alafu sio mbaya kama ukiniachia na comment
yako kusema umeionaje ili akipita ajue fans wake wanasemaje upande huu.
https://youtu.be/a8dqVuHmj5k
0 comments:
Post a Comment