Country Fm Iringa 88.5 Iringa,91.1 Mbeya
Home » »

T.I na Mke wake wanategemea kupata mtoto wa saba.


Rapa T.I Na mke wake Tameka “Tiny” Harris wametangaza kuwa wanategemea mtoto. Kupitia instagram yao waliandika ujumbe huu kuhusu taarifa hizi nzuri.
Thank you to my family for my wonderful gifts…But most of all thank you for our new heir to the throne. This is the best Christmas gift you could’ve ever gave me.”
Huyu atakuwa mtoto wa tatu kati yao.TI ana watoto watatu wa nje ya mahusiano take na Tiny, Tiny ana mtoto moja aliyempata nje ya mahusiano yake ya TI.
Jumla watakuwa na watoto saba.
Ahsante kwa maoni yako,endelea kusikiliza redio country fm Iringa-One community
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA COUNTRY FM

Pages

Pages

radio country fm,one community. Powered by Blogger.