Country Fm Iringa 88.5 Iringa,91.1 Mbeya
Home » » Magufuli atangaza baraza la mawaziri

Magufuli atangaza baraza la mawaziri

Magufuli



Rais wa Tanzania John Magufuli ametangaza baraza lake la mawaziri ambalo kwa sasa lina mawaziri 19, ingawa wizara ni 18. Mawaziri sita kati ya hao ni wanawake.
Dkt Magufuli amesema kuna nafasi nne za uwaziri ambazo bado anatafuta watu wanaofaa kuteuliwa.
Walioteuliwa ni:
1.Wizara ya Ofisi ya Rais,Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora.
Mawaziri – George Simbachawene na Angella Kairuki
Naibu Waziri – Sumeilam Jafo.
2.Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na Mazingira
Waziri – January Makamba
Naibu Waziri – Luhaga Jerrson Mpina
3.Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu
Waziri – Jenista Muhagama
MaNaibu – Dkt Possy Abdallah na Anthony Mavunde.
4.Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Waziri – Mwigulu Nchemba
Naibu Waziri – William Ole Nasha
5.Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Waziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri – Edwin Ambandusi Ngonyani
6.Wizara ya Fedha na Mipango
Waziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri – Ashantu Kizachi
7.Wizara ya Nishati na Madini
Waziri – Prof Mwigalumi Muhongo.
Naibu Waziri – Medalled Karemaligo.
8.Wizara ya Katiba na Sheria,
Waziri – Harrison Mwakyembe
9.Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afika Mashariki, Kikanda na Kimataifa.
Waziri – Dkt Augustino Mahiga
Naibu Waziri – Dkt Susan Kolimba.
10.Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Waziri – Dk Hussein Mwinyi
11.Wizara ya Mambo ya Ndani
Waziri – Charles Kitwanga.
12.Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Waziri – William Lukuvi
Naibu Waziri – Angelina Mabula
13.Wizara ya Maliasili na Utalii
Waziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri– Ramol Makani
14.Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.
Waziri Charles Mwijage.
15.Wizara ya Elimu, Sayansi Teknolojia na Ufundi.
Waziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri – Stella Manyanya
16.Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Waziri – Ummy Mwalim
Naibu Waziri – Dkt Hamis Kigwangala
17.Wizara ya Habari, Utamadu, Wasanii na Michezo
Waziri – Nape Nnauye
Naibu Waziri – Anastasia Wambura.
18.Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Waziri – Prof Makame Mbarawa
Naibu Waziri - Isack Kamwela
Ahsante kwa maoni yako,endelea kusikiliza redio country fm Iringa-One community
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA COUNTRY FM

Pages

Pages

radio country fm,one community. Powered by Blogger.