Country Fm Iringa 88.5 Iringa,91.1 Mbeya
Home » »

List ya wakali 20 waliokimbiza East Africa 2015.. Alikiba, AY, Vanessa, Diamond, Joh Makini nao ndani

Countdown ya siku zinazokamilisha mwaka 2015 inazidi kutiririka huku muziki ukionekana kuibeba vizuri ramani ya East Africa kwenye level za kimataifa..!!
Najua watu wetu wamefanya kazi nzuri na kazi kubwa kuupeleka muziki kule ulipofika sasahivi.
Nimeikuta hii list kwenye ukurasa wa Citizen TV ya Kenya, ambapo wao wameitangaza list yao ya mwaka, ngoma kali zilizokimbiza zaidi kwa mwaka 2015… BIG UP sana yani, ni furaha kuona akiwa Vee Money, King Alikiba, rapper Joh Makini, AY na Diamond Platnumz wote wamo !!
Hii ndio list ya midundo yote mtu wangu.
#20 >> The Kansoul Feat. NamelessMoto wa Kuotea Mbali

19 >> Timmy Feat. All StarsWelle Welle Rmx

#18 >> DelaMafeelings

#17 >> Timmy T Dat Feat. KansoulTunakubali

#16 >> Dazlah Feat. Susumila– Kidekide

#15 >> AlikibaMwana

#14>> AYZigo

#13 >> Sauti Sol– Shake Yo Bam Bam

#12 >> Seroney Shuga

#11 >> ElaniNikupende

#10 >> Amos and Josh Feat. Rabbit King KakaBaadaye

#9 >> The Kansoul (Mejja Madtraxx)- Nyongwa

#8 >> Kristoff Feat. Frasha & Kingkaka Dandia

#7 >> Diamond Platnumz Feat. Mr Flavour Nana

#6 >> KaligraphYego

#5 >> H-Art The bandNikikutazama

#4 >> AvrilNikumuona

#3 >> Vanessa Mdee Feat. K.O –  Nobody But Me

#2 >> OctopizzoSomething for You

#1 >> Fena Gitu– African King
Ahsante kwa maoni yako,endelea kusikiliza redio country fm Iringa-One community
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA COUNTRY FM

Pages

Pages

radio country fm,one community. Powered by Blogger.