Posted by COUNTRYFM IRINGA
Posted on 8:54 PM
with No comments
Profesa JayAwashukuru Wana Mikumi kwa Kumpa Ushindi wa Kishindooo
Profesa Jay, msanii wa hiphop Tanzania aliyechukua ushindi baada ya kupigiwa kura na Wananchi wa jimbo la Mikumi Morogoro ili awe Mbunge wao kwa miaka mitano kuanzia 2015-2020, kama hujawahi kabisa kumuona akiongea na Wananchi… bonyeza play kwenye hii video hapa chini.
0 comments:
Post a Comment