Jarida la New African,majina matano ya wasanii wenye ushawishi mkubwa zaidi Africa 2015,mtanzania ni huyu.
Jarida la New African toleo ya December 2015 limataja majina matano ya wasanii wenye ushawishi mkubwa zaidi Africa.1] Mwigizaji kutoka Kenya Lupita Nyong’o.
2] Mtangazaji wa The Daily Show kutoka Africa kusini Trevor Noah.
3] Diamond Platnumz ,mwimbaji wa muziki kutoka Tanzania.
4] Yemi Alade msanii kutoka Nigeria.
5] Koffi Olomide msanii wa muziki kutoka DRC Congo.
0 comments:
Post a Comment