Country Fm Iringa 88.5 Iringa,91.1 Mbeya
Home » »

Album ya Michael Jackson yauza kopi milioni 30 baada ya kifo chake,rikodi mpya duniani iko hapa.

michael_jackson
Miaka 7 baada ya kifo chake Michael Jackson anazidi kuweka rekodi duniani.Album yake ya 6 ‘Thriller’ imethibitishwa kuuza kopi milioni 30 kwa mujibu wa Billboard, na ndio album ya kwanza kuuza kopi zaidi ya milioni 100 ndani ya nchi na kopi zaidi ya bilioni 1 nje ya nchi.
Mwenye kiti wa RIAA Cary Sherman ambaye kampuni yake hutoa tuzo kwa mauzo makubwa kama haya amesema hii ndio mara ya kwanza msanii anauza zaidi ya kopi milioni 30 na kwamba hii ndio rekodi mpya duniani.
Thriller ilitoka November 30, 1982 na ilitayarishwa na Quincy Jones na Michael Jackson ikiwa na nyimbo kama Beat It na Billie Jean. Michael Jackson alifariki June 25, 2009.
Ahsante kwa maoni yako,endelea kusikiliza redio country fm Iringa-One community
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA COUNTRY FM

Pages

Pages

radio country fm,one community. Powered by Blogger.