Country Fm Iringa 88.5 Iringa,91.1 Mbeya
Home » »

50 Cent azidi kuonyesha ushahidi wa kufilisika,amtumia babu yake sasa.

 50cent
50 Cent amejipanga kuonyesha kuwa ameishiwa na kufilisika kabisa baada ya kuonyesha ushahidi mpya wiki iliyopita. 50 Cent anasema analipa dola $3,443 kwa babu yake Curtis Jackson Sr kila mwezi ili kumsaidia kwenye maisha yake.
Kwa sasa 50 Cent anasema pato lake kwa mwezi ni dola is $183,000 na matumizi yake ni $108,000 kwa mwezi. 50 anasema anadaiwa dola milioni $28 million kutoka kwa watu 20 tofauti akiwemo Lastonia Leviston, ambaye anamdai dola milioni 7  kwa kuweka video yake ya maswala ya ngono mtandaoni.
Ahsante kwa maoni yako,endelea kusikiliza redio country fm Iringa-One community
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA COUNTRY FM

Pages

Pages

radio country fm,one community. Powered by Blogger.