Country Fm Iringa 88.5 Iringa,91.1 Mbeya
Home » » Vijana wametakiwa kuwa wabunifu kwa kujiajiri

Vijana wametakiwa kuwa wabunifu kwa kujiajiriIRINGA
Vijana wametakiwa kuwa wabunifu kwa kujiajiri na kuacha kutegemea kuajiliwa na mashirika mbalimbali ya UMMA na binafsi


Hayo yamesemwa na afisa misitu manispaa ya iringa bw.ROGAS ROKORE wakati akizungumza na country fm ofisini kwake ambapo ametaja moja kati miradi inayoweza kumuwezesha kijana kujikwamua kimaisha ni pamoja na ufugaji wa nyuki

Bw.ROKORE amesema faida zinazo tokana na ufugaji wa nyuki ni pamoja na kuvuna asali ,nta,gundi maziwa ya nyuki pamoja na dawa
Amesema changamoto zitokanazo wakabili wafugaji wa  nyuki ni pamoja na elimu ndogo , ukosekanaji wa vifungashio vya asali na mazao mengine ya nyuki .

MWISHO
Ahsante kwa maoni yako,endelea kusikiliza redio country fm Iringa-One community
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA COUNTRY FM

Pages

Pages

radio country fm,one community. Powered by Blogger.